KILIMANJARO MUSIC AWARD 2012, KULINDIMA KESHO 14/04/2012


Kilimanjaro Premium Lager wanakuletea Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2012, ni jumamosi hii ya tarehe 14/04/2012 tunzo mbalimbali kutolewa kwa wasanii mbalimbali pata kujionea live, Yule msanii uliyompigia kura kupanda kwa stage na kuchukua award, huku shangwe zakutosha, good performs kwa wasanii wakali, ni Mlimani City hall ndio mahala pa tukio, 
Tshs 75000/= tu kwa VIP huku ukipata buffet dinner plus drinks bureee na sh 20000/= kwa viti vya kawaida na BIA moja ya bure pia,
 

No comments:

Post a Comment