IKIWA NI MOJA YAKUENDELEZA UWAZI MPYA KATIKA BLOG YETU WADAU HAWA WAMEJITOLEA PICHA ZAO KUWA NDO KIVUTIO KATIKA BLOG.

 Kutoka kulia ni Mdau JAMALI akiwa na mkali wa hapa Mjini SUDI wa TOP IN TOWN akionekana vizuri katika picha inayofuata.

                               Akijulikana kwajina la KIBAKULI ni mdau ABDU wa Uswazi.
 Kama ilivyo ada Mdau huyu Alipata majina mengi kulingana na mambo alonayo.ukipenda waweza kumuita CHALII.CHANAGAA.CHAMAPACHA.
 Ukisema M-pesa Bukoba Bila kumtaja Mkali huyu utakuwa unakosea kabisa.YUSUF wa Vodacom.

 Akiwa bega kwa Bega Mrembo huyu hataki kuiangusha kazi hii akifahamika kwa jina la SIIMA ukipenda jina waweza kuita SHUKURU,
                                              Mzee wa Nje Nje Mkali si kwa pesa SHAIDU
                                                         Bila kumsahau Anasi wa USWAZ

No comments:

Post a Comment