Serikari yamalizia kubomoa nyumba zilizokuwa za watumishi wa Mamlaka ya Bandari na Reli mtaa wa Msimbazi jijini Dar es Salaam ili kupisha ujenzi wa kituo cha mabasi yaendayo kasi.mmmhhhhhh

 

    Mama huyu kwa uzuni kabisa akitoa baadhi ya vitu vyake vilivyosalia baada ya kubomolewa nyumba yake.



                                Haya ni majonzi makubwa kwa wakazi wa eneo hili.










                              Mtoto kama huyu atasimulia nin katika maisha yake


No comments:

Post a Comment