LEO HII KATIKA UWANJA WA TAIFA. SIMBA NA ES SETIF. 

                            SIMBA .2    - ES SETIF .0

  Mashabiki wa yanga nao ndani ya uwanja
 Hii ndivyo ilivyo katika uwanja wa Taifa.
  Baadhi ya viongozi wa Tanzania wakisalimia katika uwanja.
  Zitto kabwe mbuge wa Kigoma mashariki akiwa uwanjani kwa ajili yakushangilia timu ya Simba
Na hii ni Simba ya Tanzania.
Ikiwa uwanjani ni Tim Es Setif ya Algeria.

No comments:

Post a Comment