VODACOM YAFANYA PROMOTION MJINI BUKOBA.Gar


Gari la matangazo linalotumika kama Steji ya maonyesho.

Vijana kutoka THT wakiwa katika steij.






Vijana wakiwa wamejipanga vilivyo katika kuhakikisha mambo yanakuwa poa kabisa.




Wadau wajitokeza kwawingi katika Swaga hizo.


Baada ya kuvutiwa na mziki kutoka vodacom Mteja huyu nae hakusita kutoa alichonacho moyoni.

Mnenguaji wakike Bi Johari akisababisha.



Hakusita kumpa Mteja alichotaka.


Inasemekana Network za Mteja huyu hazikuwa chini.



Bi Johari nae mmmhhh!!!.









                                   HIVYO NDIVYO ILIKUWA KATIKA MJI WA BUKOBA.
           V  O  D  A  C  O  M                        K  A  Z  I                    N  I               K  W  A  K  O.

No comments:

Post a Comment