YALIYOJIRI KWENYE KILI MUSIC AWARD WINNERS MWANZA


 Show ya hapa Mwanza ilifunguliwa na msanii wa taarabu Isha Mashauzi,
 Akafuatia msanii aliyechukuwa tuzo ya RnB anajulikana kama Ben Pol
 Misago, Hellen & Dullah
Barnaba, Hellen & Sam Misago
Kaka mkubwa ndio aliyekuwa akiangalia ulinzi wa wasanii wote wakiwa salama
Ommy Dimpoz akiwa stejini.
 Barnaba
 DD   A.K.A    Diamond Dancers
AT akiwakatisha mauno.
 Diamond akiwalaza salama.
ROMA akifunga Show.

No comments:

Post a Comment