KUTOKA LEADERS CLUB KWENYE MAZISHI YA STEVEN KANUMBA. 


MWILI WA MAREHEMU UKIWASILI UWANJANI HAPA


 Wanakwaya wakiimba

 sehemu ambayo mwili wa marehemu Kanumba unatarajiwa kuwekwa 

watoto waliokuwa wakicheza movie na marehemu Kanumba enzi ya uhai wake

 Mama yake Kanumba akiingia uwanjani.

 

 Hemed na Yusuph Mlela wakiingia

Watu wazidi kuzimia kila muda unavyopita
Makamu wa rais Dk. Mohamed Ghalib Bilali akitoa heshima za mwisho

 Mke wa rais Mama Salma Kikwete nae katika kushuhudia mwili

Kamanda wa polisi akitoa akitoa heshima za mwisho
 Joseph Mbilinyi mbunge wa Mbeya akitoa heshima zake za mwisho kwenye mwili wa marehem.


MUHESHIMIWA JOSEPH MBILINYI AKIWA ANAWASILI VIWANJA VYA LEADERS CLUB MUDA HUU

LIVE KUTOKA LEADERS CLUB KWENYE MAZISHI YA STEVEN KANUMBA

Msanii Cate akiwa eneo la Tukio muda huu






HUU NI UMATI WA WATU AMBAO WAMEFIKA ENEO HILO MUDA HUU KUPOKEA MWILI WA MAREHEMU


Eneo ambalo Mwili wa Marehemu utawekwa mala Baada ya kufika hapa Leaders Club

 

Watu waliojitokeza kuaga mwili wa Marehem Kanumba ni Wengi sana
Steji iliyoandaliwa kwa ajili ya Kushuhudia Maiti.
Watu wakizidi kumiminika huku wakisubiri Mwili kufika.
Kinachosubiriwa kwa sasa ni mwili wa marehemu kuwasili eneo hili la Leaders Club.\

No comments:

Post a Comment