KATIKA MICHEZO SIMBA YAFUZU KWA GOLI LA UGENINI




Mnyama Simba sports club ya Tanzania yafudhu kwa Goli la ugenini baada ya kufungwa mabao matatu kwa moja dhidi ya ES SETIF huko Algeria.Goli la Simba lafungwa dakika ya 90 na EMMANUEL OKWI.

No comments:

Post a Comment