ARSENAL vs MACHESTER CITY LIVE KESHO ON HD


                           WENGER              v/s                MANCINE


KOCHA WA MANCHESTER CITY ROBERT MANCINE AMEVIELEZA VYOMBO VYA HABARI KUWA MECHI YAKE DHIDI YA ARSENAL NI YA MUHIMU SANA KUTOKANA NAKUWA NYUMA YA POINT TANO [5] DHIDI YA ANAYEONGOZA LIGI HIYO,

HIVYO ATAKAPO POTEZA MECHI HIYO ITAMUWEKA KATIKA NAFASI MBAYA DHIDI MPINZANI WAKE MANCHESTER UNITED KWA  KUENDELEZA MCHAKATO WA KUONGOZA LIGI HIYO,

NAE KOCHA WA THE GUNNERS ARSENAL WENGER AMETAMKA KUWA MECHI HIYO NI MUHIM SANA KWAKE ANAHITAJI POINT 3 ILI KUONDOA TOFAUTI DHIDI YAKE NA TOTTENHAM HOTSPURS INAYOSHIKA NAFASI YA NNE KATIKA MSIMAMO WA LIGI HIYO.

 HIVYO MECHI HIYO INATEGEMEWA KUWA NA UPINZANI UKIZINGATIA WACHEZAJI WAKE WAKO POA SANA.

 MSIMAMO WA LIGI KUU YA ENGLAND
1 Manchester United 31 76
2 Manchester City 31 71
3 Arsenal 31 58
4 Tottenham Hotspur 31 58
5 Newcastle United 32 56
6 Chelsea 31 53
7 Everton 31 43
8 Liverpool 31 42
9 Sunderland 31 41
10 Fulham 31 39
11 Swansea City 32 39
12 Norwich City 31 39
13 Stoke City 31 38
14 West Bromwich Albion 31 36
15 Aston Villa 30 33
16 Bolton Wanderers 30 29
17 Queens Park Rangers 31 28
18 Blackburn Rovers 31 28
19 Wigan Athletic 31 28
20 Wolverhampton Wanderers 31 22

No comments:

Post a Comment