![]() |
| Gari la matangazo linalotumika kama Steji ya maonyesho. |
| Vijana kutoka THT wakiwa katika steij. |
| Vijana wakiwa wamejipanga vilivyo katika kuhakikisha mambo yanakuwa poa kabisa. |
| Wadau wajitokeza kwawingi katika Swaga hizo. |
| Baada ya kuvutiwa na mziki kutoka vodacom Mteja huyu nae hakusita kutoa alichonacho moyoni. |
| Mnenguaji wakike Bi Johari akisababisha. |
| Hakusita kumpa Mteja alichotaka. |
| Inasemekana Network za Mteja huyu hazikuwa chini. |
| Bi Johari nae mmmhhh!!!. |
HIVYO NDIVYO ILIKUWA KATIKA MJI WA BUKOBA.
V O D A C O M K A Z I N I K W A K O.




No comments:
Post a Comment